Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (Katikati) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, pamoja na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kaskazini waliomtembelea ofisini kwake, jijini Arusha leo.
Wajumbe hao wako katika ziara ya kuvitembelea vyombo vya utangazaji vya Kanda ya Kaskazini ili kutoa elimu ya uandaaji na usimamiaji wa maudhui bora ya uchaguzi nchini.
Maudhui ya Vyombo vya utangazaji ni muhimu katika kuhimiza amani na utulivu wakati wote wa kipindi cha uchaguzi.
Tanzania inatazamia kufanya chaguzi za Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani.
Saturday, July 13, 2019
Kamati ya maudhui TCRA yafanya ziara Arusha
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment