Adbox

Sunday, July 28, 2019

Watu 15 wauawa katika shambulizi Burkina Faso

Watu 15 wafariki katika shambulizi lililolenga kijiji cha Pissila nchini Burkina Faso.

Watu waliokuwa na silha wameshambulizi kijiji cha Pissili Kaskazini mwa BurkÅŸna Faso na kupelekea vifov ya watu 15.

Kulingana na  taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari  nchini Burkina Faso, kundi la watu 20  lilivamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi na kupelekea vifo vya watu 15.

Wahalifu hao ambao hadi sasa bado hawajajulikana  baada  ya kufanya mauaji hao wamechoma moto maduka na majumba kadhaa.

Katika miaka minne ya nyuma, watu zaidi ya  500 wameuawa na mashambulizi ya kÅŸgaidi  Kaskazini mwa BurkÅŸna Faso na maeneo mengine   ya mipakani na Togo na Benin.

No comments:

Post a Comment

Adbox