Adbox

Sunday, July 28, 2019

Takriban watu milioni 1 waenda Saudi Arabia kufanya Hija

Takriban watu milioni moja wameenda Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya Hija.

Idadi hiyo imetolewa na shirika la habari la Saudi Arabia SPA.

Kulingana na shirika la habari la Saudi Arabia (SPA), idadi ya wale ambao wamekwenda katika nchi takatifu kufanya ibada ya Hija ni karibu milioni 1.

Kulingana na takwimu rasmi, watu milioni 2,371,000 675 walifanya ibada ya Hija mwaka jana.

Mwaka huu msimu wa Hija utaanza katika siku za kwanza za mwezi  Agosti.

No comments:

Post a Comment

Adbox