Mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Chan kati ya Taifa Stars na Kenya umekamilika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa sare ya bila kufungana.
Kwa matokeo hayo ya leo, Taifa Stars ina kazi kubwa ya kufanya kwenye mchezo wa marudio utakaochezwa nchini Kenya August 4 mwaka huu.
Sunday, July 28, 2019
Taifa Stars yashindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani
Tags
# Michezo
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Michezo
Tags:
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment