Adbox

Tuesday, July 16, 2019

Rais Mstaafu Kikwete katika ziara shambani kwake

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete amefanya ziara fupi katika Jiji la Dodoma kwa lengo la kutembelea maeneo yake ambayo aliyanunua miaka ya 1980.

Katika ziara yake hiyo Mhe Kikwete ameambatana na Familia yake na Mkurugenzi wa Jiji Godwin Kunambi.



No comments:

Post a Comment

Adbox