Mazoezi ya Simba SC ya kujiandaa na msimu mpya yameanza rasmi Rustenburg nchini Afrika Kusini. Timu hiyo ambayo ndio mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) itakuwa inafanya mazoezi mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni.
Tuesday, July 16, 2019
Mazoezi ya Simba SC yazidi kunoga Afrika Kusini
Tags
# Michezo
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Michezo
Tags:
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment