Adbox

Tuesday, July 16, 2019

TAKUKURU yatoa tahadhari hii kwa wananchi

TAASISI ya ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imetoa Onyo kali kwa wanaochafua Taasisi hiyo kwa kujifanya wao ni maafisa wa Takukuru kwa lengo la kuomba Rushwa.

Akizungumza na Waaandishi wa Habari mkoani hapa wakati akitoa taarifa ya utendaji kwa miezi mitatu,amewaomba wananchi wasikubali kukutana na mtu anayejitambulisha anatokea ofisi za TAKUKURU bali afike ofisini na atasikilizwa.

No comments:

Post a Comment

Adbox