Adbox

Monday, July 15, 2019

Rais Magufuli akizundua nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua rasmi nyumba 15 za makazi ya Askari wa Jeshi la Polisi  katika eneo la Magogo Mkoani Geita ambazo zitakuwa na uwezo wa kutumiwa na Askari 30.

No comments:

Post a Comment

Adbox