Nchi ya DR Congo imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola katika mji mdogo wa Goma ambao uko na wakaazi milioni moja.
Mchungaji aliyekuwa amesafiri na basi kilomita 200 kutoka eneo la Butembo hadi Goma alipatikana akiwa na virusi hivyo baada ya ukaguzi punde tu alipowasili na anaaminika kuwa alikutana na watu wenye ugonjwa huo katika eneo la Butembo.
Dereva wa basi hilo na abiria wengine 18 watapewa chanjo kwa kuwa ugonjwa huo, unaweza kusambaa kupitia mgusoano.
Monday, July 15, 2019
Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Goma, DR Congo
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment