Adbox

Monday, July 15, 2019

Kikosi cha Simba SC kilivyoondoka kuelekea Afrika Kusini

Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania, Simba SC, kinaondoka asububi hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam, kuelekea nchini Afrika Kusini, ambako kitaweka kambi ya Maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2019/2020.

No comments:

Post a Comment

Adbox