Jeshi la Urusi limekanusha kufanya mashambulizi ya anga ambayo yaliilenga soko lenye watu wengi kwenye jimbo la Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
Shirika la kufuatilia haki za binaadamu nchini Syria limesema shambulizi hilo katika soko kwenye mji wa Maaret al-Nuuman limewaua zaidi ya watu 40.
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo katika taarifa yake kwamba kikosi cha anga cha Urusi hakijafanya shambulizi lolote kwenye eneo hilo.
Urusi ni mshirika mkuu wa Rais wa Syria, Bashar al-Assad katika nchi hiyo ya Mashariki ya Kati inayokabiliwa na vita vya wenywe kwa wenyewe.

No comments:
Post a Comment