Raia wanne wa Uturuki walitekwa na genge la watu waliokuwa na silaha nchini Nigeria katika jimbo la Kwara.
Msemaji wa jeshi la Polisi la Kwara, Ajayi Okasanmi amefahamisha kwamba operesheni ya kuwaokoa raia hao wanne wa Uturuki waliotekwa imeanzishwa.
Msemaji huyo amesema kwamba taarifa zaidi kuhusu operesheni hiyo itatolewa baada ya opesheni kukamilika.
Waturuki ha walitekwa Ijumaa majira ya usiku na watu wasiojulikana Kwara

No comments:
Post a Comment