July 13, 2019 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Kazi, Ajira na Vijana ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde amekikabidhi Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya hiyo baadhi ya vifaa vitakavyotumika katika kusaidia shughuli za kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza Mwezi September mwaka huu 2019 nchi nzima ambapo katika hotuba yake Mavunde amewaeleza wanachama kwamba amebuni mbinu za kisasa zitakazotumika katika kufanya kampeni tofauti na zile zilizozoeleka siku zote.
Sunday, July 14, 2019
Home
/
Habari
/
"Hamuhitaji kutumia nguvu kwenye uchaguzi, hii tutayotumia haijawahi kutokea”-MAVUNDE
"Hamuhitaji kutumia nguvu kwenye uchaguzi, hii tutayotumia haijawahi kutokea”-MAVUNDE
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment