Mkuu wa Kitengo cha Mipango,Utafiti na Takwimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi, Maria Kulaya akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (kulia) wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Msemaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Joseph Mwasabeja akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.





No comments:
Post a Comment