Adbox

Monday, March 23, 2020

Virusi vya Corona: Ujerumani imeripoti visa 22,672 na vifo 86

Idadi ya waliombukizwa virusi vya corona nchini Ujerumani imeongezeka na kufikia watu 22,672 huku waliokufa wakifikia 86.

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa taasisi ya umma ya uratibu wa afya ya Robert Kock.

Kwa mujibu wa taasisi hiyo takwimu za jana Jumapili zilionesha kuwepo kwa maambukizi 18, 610 na vifo 55, huku ikionya kwamba idadi inaweza kuwa kubwa zaidi ya hiyo iliyoanishwa kwa kuwa si mamlaka zote za afya za majimbo zilizoweza kuwasilisha takwimu zao mwishoni mwa juma.

No comments:

Post a Comment

Adbox