Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 71 kabla ya Mariano Diaz kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa La Liga.
Kwa ushindi huo, Real Madrid inarejea kileleni La Liga sasa ikiizidi pointi moja Bacelona (56-55) baada ya wote kucheza mechi 26.
Monday, March 2, 2020
Real Madrid yaichapa Barcelona
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment