Ofisi ya Rais nchini Finland leo March 24, imethibitisha kuwa Rais Mstaafu wa Nchi hiyo Martti Ahtisaari amepatwa na corona, Mstaafu Martti mwenye umri wa miaka 82 aliongoza Finland 1994- 2000 na alipata tuzo ya Nobel ya amani mwaka 2008 kwa kazi yake ya kuleta amani Kimataifa.
Mpaka sasa Finland imethibitisha wagonjwa 700 wa corona na kifo kimoja.
Tuesday, March 24, 2020
Rais mstaafu nchini Finland apatwa na ugonjwa wa corona
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment