Adbox

Saturday, March 14, 2020

Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Italia wazungumza kuhusu corona

Waziri wa mambo ya   nje wa Uturuki azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Italia kuhusu virusi vya corona.

Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo  ya nje wa Uturuki  azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Italia Di Maio kuhusu  virusi vya corana.

Katika mazungumzo yao  kwa njia ya simu viongozi hao wamezungumza mbinu za kukabiliana na virusi hivyo ambavyo tayari vimesababisha maafa makumwa nchini Italia.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ametoa salamu za rambi rambi   kwa Italia kufuatia maafa makubwa  yaliosababishwa na virusi hivyo.

Watu zaidi ya  820 wamefariki  nchini Italia tangu kulipuka kwa  janga hilo la virusi vya Covid-19

No comments:

Post a Comment

Adbox