Adbox

Saturday, March 14, 2020

Idadi ya watu waliofariki na virusi vya corona Ufaransa yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki  kwa virusi vya corona nchini Ufaransa yaongezeka na kufikia  watu 79.

Idadi  ya watu waliofariki kwa virusi vya  corona nchini Ufaransa  yazidi kuongezeka na kufikia watu 79.

Watu  3661 wameripotiwa  kuambukizwa  virusi vya corona.

Taarifa  kuhusu idadi  hiyo kuongezeka imetolewa na waziri wa afya  Olivier Veran  katika mkutano na waandishi wa habari.

Watu 18  wamefariki kwa  muda wa masaa  24.

Waziri wa afya wa Ufaransa   amefahamisha kuwa  watu 154 walioathirika   na virusi vya corona wapo katika hali maututi katika chumba maalumu cha matibabu.

No comments:

Post a Comment

Adbox