Kwa mujibu wa gavana wa jimbo la Maryland Larry Hogan ambaye pia ni mkuu wa shirika la kitaifa la magavana nchini humo, ujumbe huo unatatanisha kwa sababu viongozi wengi bado waangazia njia za kuimarisha vikwazo na sio kuvilegeza.
Magavana kote nchini Marekani jana walipinga ratiba mpya ya rais wa nchi hiyo Donald Trump ya kurejelea shughuli za kiuchumi nchini humo huku wakiendelea kuweka vikwazo zaidi vya usafiri na maisha ya umma katika juhudi za kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona.
Pingamizi dhidi ya ratiba hiyo ya Trump ya kurejelea shughuli za kiuchumi kufika Kati mwa mwezi Aprili, zilitoka kwa wanachama wa vyama vya Republican na Democratic pamoja na viongozi wanaojitahidi kusimamia udhibiti wa virusi vya corona katika maeneo yalioathirika pakubwa pamoja na wale wanaojiandaa kwa hali mbaya zaidi.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo la Maryland Larry Hogan ambaye pia ni mkuu wa shirika la kitaifa la magavana nchini humo, ujumbe huo unatatanisha kwa sababu viongozi wengi bado waangazia njia za kuimarisha vikwazo na sio kuvilegeza.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo la Maryland Larry Hogan ambaye pia ni mkuu wa shirika la kitaifa la magavana nchini humo, ujumbe huo unatatanisha kwa sababu viongozi wengi bado waangazia njia za kuimarisha vikwazo na sio kuvilegeza.

No comments:
Post a Comment