Adbox

Tuesday, March 17, 2020

Marekani aijaeneza corona kauli walizotoa China zipuuzwe- Pompeo

Bado vita ya maneno kati ya China na Marekani inaendelea,kila mmoja akijiondoa kwenye lawama za kwamba virusi vimeanzia Nchini kwake, Waziri wa Mambo ya Nje Marekani, Mike Pompeo ameitaka China kuacha kuibebesha USA mzigo wa lawama kwamba imehusika kupandikiza na kueneza corona.

“Huu sio wakati wa kusambaza uzushi, na fununu za kinafiki, Nchi zote zinapaswa kuungana kupambana na tishio hili la Dunia, hakuna ukweli wowote wa kwamba Jeshi la Marekani limehusika kupeleka corona China, kauli walizotoa China zipuuzwe” - MIKE POMPEO

No comments:

Post a Comment

Adbox