Hata hivyo Polepole amesema kuwa kwa vikao vyote vya CCM ambavyo vipo kwenye kalenda, vitaendelea kama ilivyopangwa kwa kuwa havihusishi idadi kubwa ya watu.
Ameviomba vyama vingine vya siasa nchini navyo kuchukua uamuzi kama uliochukuliwa na CCM, kwa kuwa mapambano dhidi ya virusi vya corona ni muhimu kwa mustakali wa Taifa.
CCM imewataka Watanzania wote kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa afya, yanayoelekeza namna ya kujikinga na virusi hivyo vya corona.
Pia CCM imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua za haraka za kukabiliana na virusi hivyo, na kuiomba kuendelea kuchukua hatua za dharura na za harak


No comments:
Post a Comment