Rais wa zamani wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Lorenzo Sanz amefariki dunia kwa virusi vya corona, Saz ,76, alikuwa Rais wa Real Madrid kwa miaka mitano (1995-2000).
Sanz ambaye 1998 aliiwezesha Real Madrid kucheza fainali ya kwanza ya michuano ya Ulaya baada ya miaka 32, kabla ya virusi vya corona alikuwa akisumbuliwa na tatizo la upumuaji na figo, kabla ya kulazwa kwa siku nane kwa homa kali ya corona na Jumanne hii aliruhusiwa kutoka hospitali
Sunday, March 22, 2020
Corona yamuua Rais wa zamani wa Real Madrid
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment