"Watu wangapi wamethirika na corona Marekani, Mtu wa kwanza alihisiwa lini kuwa ana corona USA?, tunaweza kupewa majina ya Hospitali?, inawezekana kabisa Jeshi la Marekani limeleta virusi vya corona China”- Zhao Lijian, Msemaji Wizara ya Mambo ya Kigeni China
“Marekani kuweni wawazi, wekeni takwimu hadharani, tupeni ufafanuzi ulioshiba,baadhi ya waliofariki mkasema ni mafua ya kawaida walishapata corona, Watu Mil 34 waliugua mafua na Elfu 20 wakafariki Marekani, tuambieni wangapi wanahusika na corona”- Zhao Lijian
Saturday, March 14, 2020
Corona imeanzia Marekani msifiche- Zhao Lijian
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment