Adbox

Friday, March 13, 2020

Breaking News: JPM aagiza kupunguza vibali vya kusafiri nje ya nchi

Rais John Magufuli amemuagiza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kupunguza kutoa vibali kwa watendaji kusafiri nje ya nchi, ashauri wananchi wapunguze safari na kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona

No comments:

Post a Comment

Adbox