Adbox

Saturday, February 22, 2020

Waziri Majaliwa amtembelea Katibu Mkuu wa TFF Kidao Wilfred kumpa pole ya msiba wa Kaka yake

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika kumpa pole Katibu Mkuu wa TFF Kidao Wilfred kutokana na msiba wa Kaka yake mkubwa,Mathew Champanda.


No comments:

Post a Comment

Adbox