Adbox

Friday, February 28, 2020

Rais Magufuli afanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa BAKWATA Kinondoni jijini Dar

Rais John Magufuli leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa BAKWATA unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Rais Magufuli alipofanya ziara hapa nchini Oktoba 2016.





No comments:

Post a Comment

Adbox