Adbox

Thursday, February 6, 2020

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi(Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment

Adbox