Imeripotiwa kuwa mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yaligubikwa na mada kuu ambayo ilikuwa umuhimu wa jeshi la kujiham Magharibi NATO.
Msemaji wa ikulu ya White House mjini Washington Judd Deere amesema kuwa mazungumzo kati ya rais Truump na Macron kwa njia ya simu yamefanyika Jumanne.
Masuala tofauti kuhusu ushirikiano kati ya Marekani na Ufaransa yamejadiliwa kati ya marais hao wawili.
Mapambano dhidi ya ugaidi Sahel ambayo yanendeshwa na jeshi la Ufaransa yamezungumziwa pia.


No comments:
Post a Comment