Adbox

Saturday, February 8, 2020

Habari Picha: Maadhimisho ya miaka 43 ya CCM Jijini Dodoma yanoga

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg.Philipo Mangula (kushoto) ambaye ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 43 ya CCM mkoa wa Dodoma akifatilia shamrashara hizo kabla kutoa hotuba kwa wanancha wa mkoa wa Dodoma.

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge, (kushoto) ambaye amehudhuria maadhimisho ya miaka 43 ya CCM  ambapo CCM Dodoma chama na jumuiya zake zote tatu kuanzia shina,Tawi,Kata,Wilaya na Mkoa wa Dodoma akiafatilia shamrashamra.

 Sheikh wa Mkoa wa Dodoma akitoa Dua kwenye maadhimisho ya miaka 43 ya CCM.

 Mchungaji akitoa neno la Bwana kwenye Maadhimisho ya miaka 43 ya CCM mkoani Dodoma.

 Sehemu ya viongozi na wabunge wakifatilia maadhimisho ya miaka 43 ya CCM mkoani Dodoma.

Sehemu ya wanachama wa CCM waliofurika katika maadhimisho ya miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dodoma wakifatilia sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment

Adbox