Adbox

Friday, February 21, 2020

Breaking News: Mbunge Katani Ahmadi Katani ajiunga na CCM

Mbunge wa jimbo la Tandahimba kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF, Katani Ahmadi Katani, amejiuzulu nafasi zote ndani ya CUF, ikiwemo Ubunge na kujiunga na CCM.

No comments:

Post a Comment

Adbox