Klabu ya Simba imemalizana na kiungo wa kimataifa wa msumbiji Luis Jose Miquissone ambaye alikuwa akichezea klabu ya UD Songo kwa mkopo.
Luis ndiye aliyeifungia UD Songo bao dhidi ya simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika uliopigwa Jijini Dar es Salaam mwezi septemba mwaka jana na kulazimika kwa sare ya 1-1 matokeo ambayo yaliwatupa simba kwenye michuano.
Kiungo huyo amekabidhiwa jezi ya timu hiyo na kocha wa timu hiyo Sven Vandenbroeck
No comments:
Post a Comment