Hivi karibuni Serikali kupitia Mamlaka ya usafiri wa Anga ilivifunga viwanja vya ndege 208 visivyo rasmi pamoja na Bandari bubu 447 hatua iliyo ridhiwa pia na Bunge.
Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, amesema Serikali itaendelea kuvifuta Viwanja vya Ndege visivyo rasmi pamoja na Bandari bubu nchini, ili kupunguza uhalifu katika maeneo hayo
Waziri Kamwelwe ametoa kauli hiyo Mjini Mpanda mkoani Katavi, wakati akizindua Mfumo mpya wa Kuongozea ndege, katika Uwanja wa ndege wa Mpanda.
Hivi karibuni Serikali kupitia Mamlaka ya usafiri wa Anga ilivifunga viwanja vya ndege 208 visivyo rasmi pamoja na Bandari bubu 447 hatua iliyo ridhiwa pia na Bunge.
Hivi karibuni Serikali kupitia Mamlaka ya usafiri wa Anga ilivifunga viwanja vya ndege 208 visivyo rasmi pamoja na Bandari bubu 447 hatua iliyo ridhiwa pia na Bunge.
No comments:
Post a Comment