Adbox

Sunday, December 8, 2019

Real Madrid yaichapa Espanyol

Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 79 kufuatia kumsetia Raphael Varane kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Santiago Bernabeu.

No comments:

Post a Comment

Adbox