Adbox

Thursday, December 5, 2019

Ratiba ya treni ya Abiria kati ya Dar es Salaam hadi Moshi hii hapa

Ratiba ya treni ya abiria ya Deluxe itakayokuwa ikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam - Moshi - Dar es Salaam. Safari zitakuwa nne kwa wiki, mbili kwenda Moshi (Jumanne na Ijumaa) na mbili za kurejea Dar es Salaam (Jumatano na Jumamosi), ambapo kila moja itatumia saa 16.

No comments:

Post a Comment

Adbox