Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji ameahidi zawadi ya Tsh Milioni 100 na pikipiki za Boxer kwa wachezaji na benchi la ufundi la Kilimanjaro Stars endapo watashinda ubingwa wa michuano ya CECAFA 2019 inayoendelea nchini Uganda.
"Kama Mtanzania ambaye napenda kuona nchi yangu inafanya vizuri kwenye soka nimeahidi kutoa zawadi ya Tsh Milioni 100 na zawadi ya pikipiki za MO Boxer kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu yetu ya iwapo itashinda ubingwa wa michuano ya CECAFA ambayo inafanyika hapa nchini Uganda," amesema.
Tuesday, December 10, 2019
MO Dewji kuipatia Kili Stars Milioni 100 ikibeba CECAFA
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment