Adbox

Thursday, November 21, 2019

Waziri wa Viwanda afanya uteuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amemteua Bi. Loy Waston Mhando kukaimu nafasi ya Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).

No comments:

Post a Comment

Adbox