Adbox

Monday, November 25, 2019

Klabu ya Hilal Al Fasher ya Sudan yapata ajali

Klabu ya soka ya Hilal Al Fasher ya Sudan imepata ajali barabarani asubuhi ya jana ikiwa njiani kwenda kucheza mechi ya ligi.

Taarifa zinasema katika ajali hiyo, kocha msaidizi amefariki dunia huku wachezaji kadhaa na viongozi wa benchi la ufundi wakiwa katika hali mbaya.

No comments:

Post a Comment

Adbox