Mkazi wa Umbuji, Zanzibar, Maulid Abdallah (29) amefikishwa Mahakama ya Mkoa ya Mwera kujibu mashtaka mawili ya kumtorsha na kumuingilia kinyume na maumbile Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita.
Mwendesha Mashtaka wa Serikali Ayoub Nassor mbele ya Hakimu Khamis Simai amesema Mtuhumiwa alimtorosha Mtoto huyo kutoka nyumbani kwao akiwa anacheza barazani na kumpeleka vichakani bila ridhaa ya Wazazi wake kitu ambacho ni kosa kisheria kisha akamuingilia majira ya saa sita mchana.
Mshtakiwa amerejeshwa rumande kwa kile kilichoelezwa kosa hilo halina dhamana na kesi itaendelea tena December 02, 2019.
Wednesday, November 27, 2019
Ashtakiwa kwa kumnajisi mtoto wa miaka sita
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment