Adbox

Thursday, October 17, 2019

Waziri Mkuu akagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mtama baada ya kukagua maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri hiyo Oktoba 17, 2019. Kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama Oktoba 17, 2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama, M. Matei
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama mkoani, Lindi, Oktoba 17, 2019

No comments:

Post a Comment

Adbox