Adbox

Friday, October 18, 2019

Wananchi waanza kulipwa kupisha ujenzi wa Bwawa

Serikali imetekeleza ahadi yake ya Kulipa fidia wananchi wa Farkwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Mkoani Dodoma kupisha ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa.


No comments:

Post a Comment

Adbox