Adbox

Saturday, October 19, 2019

Rais Magufuli afanya uteuzi

Rais John Magufuli leo amemteua Mathias Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akichukua nafasi ya Hussein Katanga aliyeteuliwa kuwa Balozi, Ikulu imesema.

No comments:

Post a Comment

Adbox