Adbox

Friday, October 11, 2019

Pundamilia mwingine mwenye rangi ya dhahabu aoneka

Pundamilia mwingine mwenye rangi ya dhahabu katika eneo kubwa la mwili wake ameopatikana katika Hifadhi ya Wanyama ya Masai Mara nchini Kenya. Pundamilia huyo anaitwa Manie, jina la muongoza watalii (John Manie Kipas) aliyekuwa wa kwanza kumuona.

No comments:

Post a Comment

Adbox