Adbox

Thursday, October 24, 2019

Picha ikimuonyesha Waziri Mkuu akisalimiana na Rais wa Urusi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika Sochi nchini Urusi.

No comments:

Post a Comment

Adbox