Agizo la Mh.Rais Dk. John Magufuli alilolitoa kwa mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti la kufuatilia Bibi Martha Kuzilwa (94 ) mkazi wa kijiji cha Loisinyai kata ya Oljoro namba 5 la kurejeshewa akari zake 300 alizoporwa na Serikali ya Kijiji limetekelezwa jana Jumamosi oktoba 12.2019 na Mkuu wa wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Zephania Chaula, akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo Yefred Myenzi kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo Mnyeti.
Sunday, October 13, 2019
Home
/
Top News
/
Agizo la Rais Magufuli kwa Bibi Kikongwe wa Miaka 94 alieporwa Shamba na Kijiji,Latekelezwa
Agizo la Rais Magufuli kwa Bibi Kikongwe wa Miaka 94 alieporwa Shamba na Kijiji,Latekelezwa
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment