Adbox

Monday, September 23, 2019

Waziri Prof. Kabudi kumwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa Baraza la kudumu la Umoja wa Mataifa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akifuatilia maelezo kutoka kwa Balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa uliopo New York,Marekani Balozi Modest Mero .

Prof. Kabudi yupo New York Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa 74 wa Baraza la kudumu la Umoja wa Mataifa unaofanyika New York,Marekani tangu Septemba 21,2019 hadi Septemba 30,2019.

No comments:

Post a Comment

Adbox