Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbii Jumapili ya leo kwa mechi tatu tofauti.
Kenye mechi ya kwanza mbayo itachezwa katika uwanja wa Karume mjini Musoma, Biashara United watawakaribisha Simba SC.
Mechi ya pili itakuwa kati ya KMC ambayo itawakaribisha Ndanda FC katika uwanja wa Azam Complex, Chamanzi.
Katika uwanja wa Jamuhuri mjini Morogoro, Mtibwa Sugar watawakaribisha Mbeya City.
Michezo yote hiyo inatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10 jioni.
Sunday, September 29, 2019
Ratiba ya mechi za ligi kuu Tanzania Bara Jumapili hii
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment