Adbox

Tuesday, September 24, 2019

Picha: Waziri Mkuu atoa pole kwa Mkuu wa Majeshi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi nchini, Generali Venance Mabeyo, nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam, Septemba 24, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa mototo wa Mkuu wa Majeshi , Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es salaam, Septemba 24, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Tina Mabeyo, Mke wa Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24, 2019

No comments:

Post a Comment

Adbox