Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo, Jumanne, Septemba 3, amemwakilisha Rais John Magufuli kwenye shughuli ya kuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani wa awamu ya kwanza, Ibrahim Kaduma katika Kanisa la KKKT Makongo Juu, jijini Dar es Salaam.
Tuesday, September 3, 2019
PICHA: Makamu wa Rais aungana na familia ya marehemu Kaduma
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment