Adbox

Monday, September 23, 2019

Dkt. Shein ziarani umoja wa Falme za Kiarabu UAE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyeji wake mmoja kati ya Viongozi wa juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) katika ukumbi wa watu mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Dubai,mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Ziara ya siku saba U.A.E.

Dk. Ali Mohamed Shein ameenda Ras Al Khaimah katika Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja kufuatia muwaliko wa kiongozi wa nchi hiyo Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi.

No comments:

Post a Comment

Adbox